Biblia ni jina la jumla kwa ajili ya vitabu vitakatifu vya dini ya
Uyahudi na hasa ya Ukristo. Neno limetokana na lugha ya Kigiriki
ambayo ndani yake βιβλία (biblia) ina maana ya "vitabu" ikiwa ni
wingi wa βιβλος (biblos). Hii ni kwa sababu Biblia ni mkusanyo wa
maandiko mbalimbali yaliyoweza kutungwa kwa muda wa miaka 1000
hivi.
Hivyo Biblia ni tofauti na vitabu vingine kwa sababu iliandikwa na watu mbalimbali ambao hawakuwa pamoja wala hawakuandika kwa wakati mmoja lakini vitabu vyote vimekusanywa na kuunda kitabu kimoja cha Biblia. Inasadikiwa na Wayahudi na Wakristo kwamba "Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu kwa uwezo wa Mungu".
Kuchagua kitabu kusikiliza:
AGANO LA KALE
AGANO JIPYA

Show More >
Audio Bible Swahili offline / What's New in vUnknown
Added "Psalm of the day". This update brings small improvements and
bug fixes. Thank you for your positive feedback and reviews. Have a
nice day! Listen audio bible!