A2ZAPK

Ticha Zungu - Jifunze English

Ticha Zungu - Jifunze English

Downloads: 62026

Free

Ticha Zungu - Jifunze English / Specifications

Ticha Zungu - Jifunze English / Screenshots

Ticha Zungu - Jifunze English Unknown
Loading... Ticha Zungu - Jifunze English Unknown

Ticha Zungu - Jifunze English / Description

JIFUNZE KIINGEREZA KWA KISWAHILI MTANDAONI NA TICHA ZUNGU!

> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma kuongea kusikia na kuandika mda wowote siku yoyote unapokuwa na nafasi.

-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:
- Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.

- Sehemu ya kusikiliza video ya somo.

- Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake namna yanavyotamkwa na kurudia kuyatamka.

- Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.

-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa na ukikamilisha miezi mitatu Kiingereza hakitokusumbua tena.

-> Ada ni 10000 na ni ya muda wa miezi mitatu.

Show More >

Choose Download Locations for Ticha Zungu - Jifunze English vUnknown

Ticha Zungu - Jifunze English / Tags

Share Ticha Zungu - Jifunze English At Social Media