A2ZAPK

Bibilia Takatifu Swahili Bible

Bibilia Takatifu Swahili Bible

Downloads: 249073


Free

Bibilia Takatifu Swahili Bible / Specifications

Bibilia Takatifu Swahili Bible / Screenshots

Bibilia Takatifu Swahili Bible Unknown
Loading... Bibilia Takatifu Swahili Bible Unknown
Loading... Bibilia Takatifu Swahili Bible Unknown
Loading... Bibilia Takatifu Swahili Bible Unknown

Bibilia Takatifu Swahili Bible / Description

Soma Biblia Takatifu kwenye programu yetu ya Biblia isiyolipishwa. Haina matangazo na hutatozwa ada zozote.

Ina vipengele vifuatavyo:
Toleo la Kiingereza la Biblica New International Version na inaweza kusomwa upande kwa upande au mstari kwa mstari.
Teua na uangazie vifungu unavyopenda andika madokezo na utafute maneno kwenye programu.
Bofya na ushiriki vifungu vya Biblia na marafiki zako.
Inatumia maandishi yanayobadilika ukubwa ili kurahisisha kusoma biblia.

Tumia wengine programu hii ambao wangependa kusoma Biblia Takatifu.
Tathmini na maoni yako yatatusaidia kuendelea kuboresha programu hii kwa maslahi ya watumiaji.
Kwa maoni au maswali wasiliana nasi kwa njia ya barua pepe kupitia [email protected]
Programu ya Biblia imetengenezwa na kuchapishwa na : Biblica

Je Biblia ni nini?
Biblia ni rekodi ya kazi ya Mungu ulimwenguni na kusudi lake kwa viumbe vyote. Biblia iliandikwa zaidi ya karne kumi na sita zilizopita kupitia waandishi zaidi ya arobaini. Ni mkusanyiko wa vitabu 66 vyenye mitindo tofauti vyote vyenye vinazungumzia kusudi la Mungu kwetu.

Mkusanyiko huu wa vitabu tofauti una mitindo mbalimbali ya kifasihi. Ina masimulizi mengi kuhusu maisha ya watu wema na waovu inasimulia vita na safari maisha ya Yesu na kuanzishwa kwa kanisa. Imeandikwa kupitia masimulizi na mazungumzo methali na mafumbo nyimbo na misemo historia na unabii.
Kwa ujumla masimulizi ya Biblia hayakuandikwa kama yalivyotokea. Badala yake yalielezwa tena na tena kutoka kizazi kimoja hadi kingine hatimaye yakaandikwa. Licha ya hayo mafundisho katika vitabu tofauti yanawiana. Kuna uwiano kwenye Biblia nzima licha ya matukio kutendeka nyakati tofauti.

Hivyo basi Biblia ni nini? Pamoja na hayo yote Biblia ni:

Mwongozo wa kuishi maisha kikamilifu. Inatuongoza katika safari ngumu ya maisha. Yaani katika safari yetu kupitia bahari ya maisha Biblia ni nanga.

Ina masimulizi mengi ya kuwavutia watoto na watu wazima. Unakumbuka Noah na safina? Koti la Yusufu lenye rangi za kupendeza? Danieli kwenye tundu la simba? Yona na samaki? Mafumbo ya Yesu? Simulizi hizi zinaangazia ushindi na kushindwa kwa watu wa kawaida.

Kimbilio wakati wa dhiki. Wanaoumia wanaopitia mateso waliomo gerezani na wanaoomboleza wanadhihirisha jinsi kuelekea Biblia kuliwapa nguvu wakati wa shida.

Imejaa maarifa kutuhusu. Sisi sio roboti bali ni viumbe wa Mungu anayetupenda na ana lengo na kusudi kwa ajili ya maisha yetu.

Mwongozo wa maisha ya kila siku. Inatupa mwelekeo mwongozo na amri kuhusu mienendo yetu na ina kanuni za kutusaidia katika ulimwengu ambapo mara nyingi uovu unakubalika.

Show More >

Bibilia Takatifu Swahili Bible / What's New in vUnknown

Feedback Survey added

Choose Download Locations for Bibilia Takatifu Swahili Bible vUnknown

Bibilia Takatifu Swahili Bible / Tags

Share Bibilia Takatifu Swahili Bible At Social Media