Je wewe ni mpenzi wa muziki wa zamani maarufu
kama Zilipendwa? Kama ndio basi unahitaji kuwa na App hii kwenye
simu yako. Muziki Zamani itakuwezesha kusikiliza nyimbo zilizotamba
miaka ya nyuma popote ulipo.
NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii.
NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii.
Show More >